BurudaniUncategorized

Amber Lulu afunguka kuhusu kurudiana na Aslay

Msanii wa muziki, Amba Lulu amekanusha kwamba amerudiana na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Aslay Isihaka.

Wawili hao siku chache zilizopita walionekana kuwa karibu zaidi huku wadau wa mambo wakidai kwamba huwenda wamerudiana.

Bongo5 ilimtafuta Amba Lulu na kuzungumza naye machache kuhusiana na ishu hiyo ambapo alionekana kukataa kulizungumzia suala hilo kiundani zaidi.

“Mimi sina mahusiano yoyote na Aslay,” alisema Amba Lulu.

Aslay kwa sasa anadaiwa kutoka kimapenzi na muigizaji wa filamu, Diana Kimario.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents