Michezo

Ander Herrera awatoa wasiwasi mashabiki wa Man United

Ikiwa imebakia misimu miwili kumalizika kwa mkataba wake, kiungo wa klabu ya Manchester United, Ander Herrera amewatoa wasiwasi mashabiki wa timu hiyo baada ya kusema kuwa anaipenda timu hiyo na anatamani aendelee kuichezea kwa muda mrefu zaidi.

17d5ec6f0c464fb4a4045160f46f1882

Hivi karibuni mchezaji huyo ameonekana kuwa muhimu kwenye kikosi cha Jose Mourinho huku akifanikiwa kuibuka mchezaji bora kwenye mechi kadhaa japo timu hiyo imeonekana kutofanya vizuri kwenye mechi zake za hivi karibuni huku ikiwa imetumia kiasi kikubwa kwenye dirisha lake la usajili.

Mchezaji huyo ambaye ni raia wa Hispania amedai kuwa anavutiwa kucheza dhidi ya mahasimu na kuwashukuru mashabiki wa klabu yake kwa kuipa timu ushirikiano daima katika nyakati nzuri na mbaya.

“I like these games. When you are a Manchester United player and you know the history of this club, you have to respect the games that are for the fans. I feel it like them. I know I am not English and I am not from Manchester, but I really love this club and I have enjoyed my time here. I don’t want to be just one more player. I want to show that I am very happy here and I want to be here for as long as possible,” ameiambia MUTV.

“We have to keep our feet on the floor because now the most important thing is coming and that is the Premier League. We have to face Burnley, they are fighting in every game like a final like we have seen against Everton. It is not so easy to beat Everton. We have to prepare for it. We can enjoy this result but on Thursday we change the focus. It is another final, we want to be at the top of the table and we want to win.”

Mchezaji huyo alijiunga na United msimu wa 2014 akitokea Atletico Bilbao inayoshiriki ligi kuu ya Hispania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents