Michezo

Andy Murray, Serena Williams kukonga nyoyo za mashabiki French Open 

Andy Murray na Serena Williams wanatarajiwa kukonga nyoyo za mashabiki wao kwenye michuano ya wazi ya Tennis ya Ufaransa (French Open) baada ya kuthibitishwa kuwemo kwenye orodha ya wachezaji watakao shiriki.

Murray ambaye hajashiriki mchezo huo tangu alivyofanya hivyo mwaka jana kupitia michuano ya  Wimbledon anatarajiwa kurejea tena huku mwanadada Williams akiwa amerudi Mwezi Februari baada ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi 13 kufuatia kulea ujauzito.

Murry raia wa Uingereza mwenye umri wa maiak, 30 aliwahi kuthibitisha kushiriki mashindano ya Rosmalen huko Netherlands mwezi uliyopita.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents