Michezo

Anthony Joshua na Wladimir Klitshchko watangaza tarehe ya pambano lao

Ma bondia Anthony Joshua kutoka Uiengereza na Wladimir Klitshchko wa Ukraine wamefanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Madison Square Garden mjini New York, Marekani.

Katika mkutano huo walikuwa wakitangaza pambano lao litakalo fanyika mwezi Aprili 29, mwaka huu katika Uwanja wa Wembley mjini London kuwania mataji ya IBF, IBO na WBA uzito wa juu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents