Msanii wa muziki @officialbabalevo ameendelea kulamba dili za matangazo ambapo Jumamosi hii amelamba dili la tangazo kutoka kampuni yakusafirisha abiria @farastanzania
Muimbaji huyo na mchekeshaji alitua Mlimani City na kuanza kugawa msosi kutoka KFC.