Michezo
Baraka Mpenja ni yeye na Simba tu
Sauti ya Radi Mwamba wa Umalila Baraka Mpenja ndiye amepewa mamlaka ya kusherehesha Robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Al Ahly, akisaidiwa na Ayubu Hinjo.
Mechi hii utaipata LIVE kupitia AzamSport2HD kuanzia saa 3:00 Usiku.