Uncategorized

Bi Hindu amfunda Diamond na kumsifu Alikiba ‘Tafuta mke weka ndani, ukioa uwe kipofu,mimi umenikataa’ (+Video)

Msanii Mkongwe nchini, Bi Hindu amfunda Diamond Platnumz kuhusu ndoa umri wake umefika sasa na kuachana na mambo ya ujana pamoja na nyimbo za matusi. Hii imekuja mara baada ya bosi huyo wa WCB pamoja na Rayvanny kupata msamaha wa BASATA kuhusu wimbo wao wa Mwanza uliyofungiwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents