Uncategorized

BI KIDUDE ASHIRIKI FILAMU YA SAJUKI


Katika muendelezo wa kumchangia Sajuki ambaye alikuwa nchini India kwa matatibabu lakini sasa amerudi akiwa anaendelea vizuri,Bi Kidude atashiriki katika Filamu itakayoandaliwa kusaidia kuhamasisha michango endelevu ya msanii huyo aliyeugua kwa kipindi kirefu. Filamu hiyo imekamilika jana kwa mujibu wa muongozaji wa Filamu hiyo Zamaradi Mketema.
Filamu hiyo imehusuhsa waheshimiwa Kama Mh.Halima Mdee, Mh.Ester Bulayo,Mh. Shyrose Bhanji na mwanamuziki mkongongwe Bi Kidude na mastaa wabongo kibao

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents