Michezo
Chama Mil. 450, Senzo kumpeleka polisi hawajatukomoa (+Video)
Klabu ya Yanga imeshtushwa na tukio la kushikiliwa na kuhojiwa kwa mmoja wa maofisa wetu katika kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dae es Salaam jana (Novemba11,2020) kwa tuhuma za upangaji wa matokeo.