Michezo

Chupuchupu zipigwe Dullah Mbabe Vs Twaha Kiduku (+Video)

Chupuchupu mabondia Dullah Mbabe na Twaha Kiduku wazipige jukwaani wakati walipokutanishwa kwaajili ya kupima uzito kabla ya kukutana Ulingoni hapo kesho siku ya Ijumaa katika pambano lao linalosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa Masumbwi nchini.

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO INSTAGRAM @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents