Burudani

Diddy aguswa na ‘4:44’ ya Jay Z

Rapper P Diddy ameonyesha kuvutiwa na albamu mpya ya Jay Z, 4:44. Japo wiki chache 50 Cent alidiss kubora wa albamu hiyo iliyotoka Juni 30 kwa kudai kuwa inafaa kusikiizwa kwenye uwanja wa Golf lakini kwa Diddy ambaye ni rapper anayeongoza kuwa na mkwanja mrefu duniani imekuwa tofauti sana.

Akiongea kwenye kipindi cha Drake’s Beats 1, Diddy amesema, 4:44 ni albamu bora kwa Jay kwa kuwa kama msanii unatakiwa kukua na kuhamasisha watu na kwa upande wake hiyo ndio albamu bora ya mwaka.

This JAY-Z album is JAY-Z’s best album,” amesema Puff. “As an artist, you have a responsibility to grow. JAY-Z has inspired me, I inspire people, we all inspire each other. This album is not just an album. 4:44 is necessary. It’s not just an album. It’s a change of thinking. It’s a change in the way we think. We gotta support our own brand. We gotta support each other.”

“It ain’t no old, it ain’t no new. Everybody’s fly. Y’all ni**as wearing a dress is fly. Ni**as over there wearing jewelry and Dapper Dan, trying to make that shit come back, you guys are fly. Everybody’s fly in their own way. This ni**a JAY-Z is great and that 4:44album is great. If you don’t listen to it, you’re doing yourself a disservice. Take that, take that, take that. JAY-Z’s 4:44 album [is] to me, his best album and the album of the year,” amesisitiza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents