Burudani

DJ D-Ommy wa Times FM kuachia ‘The Valentine’s Heartfelt Mixtape’ kwaajili ya siku ya wapendanao

DJ D-Ommy wa Times FM ana zawadi nzuri kwa wapendanao nchini. Mkali huyo kwenye moja na mbili, ataachia mixtape yake maalum kwa siku ya wapendanao, aliyoipa jina ‘The Valentine’s Heartfelt Mixtape’.

VALENTINE TEASER

Katika mixtape hiyo, D-Ommy ambaye jina lake halisi ni David Omari amefanya mixing ya nyimbo za maarufu za mapenzi ndani na nje ya nchi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents