Burudani

Dj joozey Ashinda Tuzo za EAEA Dj Bora wa Mwaka

 

Mkali wa kucheza na santuri kwa miondoko ya melodi za juu na chini @djjoozey ameibuka kidedea katika tuzo za EAEA East Africa Arts & Entertainment Awards kama DJ Bora wa mwaka kutokea Afrika Mashariki jambo ambalo linaleta hamasa hususani kwenye Tasnia ya Udj mbali na kuipeperusha bendera ya Nchi

Ifahamike DJ joozey amewahi kushiriki kwenye matamasha mbalimbali Duniani pia amewahi kuwa official DJ wa wasanii wakubwa afrika kama Rema,Burna boy,Fire boy,Ayra Starr na wasanii wengine wakali ndani na Nje ya Nchi huku akiweka rekodi ya matukio kama kupiga mziki juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro

Written by @abbrah255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents