Michezo

Done Deal: John Stone asajiliwa na Manchester City kwa £50m

Hatimaye klabu ya Manchester City imekamilisha usajili wa beki kutoka Everton, John Stone kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 50.

Stomnes-559x520

Kupitia mtandao wa Twitter, klabu ya Everton imethibitisha kuwa Stone ni mchezaji halali wa Manchester City.

bow-wow-ama

Beki huyo aliyekuwa akihusishwa kwa karibu kuhamia timu ya Chelsea na Barcelona amekuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na kocha mpya wa timu hiyo Pep Guardiola baada ya IIkay Gundogan na Paul Dickov.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents