Burudani

Drake na Rihanna kwenye Ovo Fest mahaba tupu (Video)

Rapper Drake na staa wa R&B, Rihanna July 31 walifanya show kali kwenye ziara za Drake za OVO katika ukumbi wa Air Canada. Mashabiki wao walikuwa wakiwashangilia muda wote na kuwafanya walio wengi kuamini kuwa wawili hawa ni wapenzi kweli.

drake-rihanna-ovo-fest

Ukaribu waliouonyesha wakati wanaimba nyimbo zao “Work” na “Too Good” ndio ulikuwa unathibitisha kuwa wawili hao tayari wamerudiana na mapenzi yao kwa sasa ni moto moto.

Tazama video za show yao hapo chini.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents