Burudani

G-Nako: Nahisi mashabiki wamenichoka kunisikia kwenye collabo

G-Nako huenda akawa ni miongoni mwa wasanii waliofanya collabo nyingi zaidi mwaka jana lakini hiyo imeanza kumpa wasiwasi.

G.Nako akiwa na Joson Gete

Rapper huyo wa kundi la Weusi anahisi ameanza kuwachosha mashabiki na hivyo ameiambia Bongo5 kuwa atajitahidi kuangalia njia gani bora atafanya ili asiwachoshe mashabiki wake.

“Bado naendelea kuchajisha collabo lakini sasa hivi sitafanya collabo nyingi sana,” amesema. “Sometimes unajua ukifanya collabo nyingi unawachosha mashabiki wako. Kama mimi nimeshafanya nyingi, kwahiyo sasa hivi kuna kazi nitakuwa naangalia za kufanya na zingine zitafanya kwa sababu collabo zimekuwa nyingi sana kama naona watu wametosha hivi na collabo.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents