Michezo

Haji Manara aushukuru uongozi wa Simba kwa kuendelea kumuamini na kumpa nafasi nyingine

Haji Manara aushukuru uongozi wa Simba kwa kuendelea kumuamini na kumpa nafasi nyingine

Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara ameishukuru klabu yake ya Simba kwa kuendelea kumuamini na kumpa nafasi nyingine ya kuendelea kuwa msemaji wa klabu hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika haya:-

https://www.instagram.com/p/B2vvASeBDf5/

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents