Burudani

Hemedy PHD atoa orodha ya nyimbo 18 zitakazokuwepo kwenye album yake ya ‘Virgo’

Baada ya kuahidi kuachia album yake ya kwanza ‘Virgo’ mwezi February 2016, Hemedy PHD ameshare na mashabiki wake orodha ya majina ya nyimbo zitakazokuwepo katika album hiyo.

hemedy phd

Mwimbaji huyo ambaye pia ni mwigizaji anatarajia kuachia single mbili mpya kwa mpigo ‘MEMORIES’ na ‘SOME DAY’ siku chacahe zijazo.

Hii ndio orodha ya nyimbo za album ya ‘Virgo’ ambayo Hemedy ameshare kwenye Instagram yake;

1.Rest of my life ft. Mr Blue
2.Far away ft. Bella Combo
3.On my Wedding Day
4 The one & Gelly wa rhymes
5.Imebaki story
6.Memories
7.Some Day
8.Fly away & Gelly wa rhymes
9.Lesbians
10.Papi why R u so fly
11.Ulisema Remix
12.Naogopa lawama
13.Ready 4 love
14.Pappination anthem
15.Spanish Love
16.Dont fight,make love
17.Going crazy
18.Akirudi mwambie sijafa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents