Burudani

Iggy Azalea ataja sababu iliyochelewesha kuachiwa albamu yake

Iggy Azalea amedai kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Nick Young ndio sababu iliyomfanya kuchelewa kuachia kwa albamu yake ya ‘Digital Distortion’ iliyotakiwa kutoka mwezi Julai, mwaka huu.

rs_634x951-141022121515-634.Iggy-Azalea-Nick-Young-Forever-21-2.jl.102214

Akiongea na jarida la The People rapper huyo amesema, “It’s no secret, I kind of had my personal life fall apart. I needed a lot of time. I mean, you wake up one morning and your fiance is having a baby with someone else, you’re going to need some time, right?”

“I just kind of felt like, on top of me needing the personal time, then feeling, ‘Okay, I’m single now. I want to have sexy songs. I want to say stuff about being single,” ameongeza.

Iggy amedai kuwa albamu hiyo ataiachia tena mwezi Januari, mwakani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents