Burudani
Juma Lokole afungua studio na salon ya mamilioni, aeleza kinachomuingizia pesa (Video)
Mjasiriamali kijana ambaye ameitumia vizuri fursa ya mitandao ya kijamii, Juma Lokole Jumamosi hii amezindua saloon yake na studio katika Iftar aliyoiandaa na kuwakaribisha mastaa mbalimbali wa filamu.