Burudani
Juma Sharobaro ajipanga kuitumia vizuri Wasafi Festival “Nitaimba Chaupepo na wimbo wa Singeli” (Video)
Msanii mpya wa muziki, Juma Sharobaro amefunguka kwa kueleza furaha yake baada ya kupata nafasi ya kufanya show kwenye jukwaa kubwa la muziki nchini Tanzania, Wasafi Festival.