Burudani

Kanye West ndiye MC bora 2016 kwa mujibu wa MTV

Kanye West ametajwa na kituo cha MTV kuwa ndiye rapper mkali zaidi kwa mwaka huu.

Rapper huyo amewafunika wasanii wengine akiwemo Drake, Kendrick Lamar, Young Thudg na wengine.

Charlamagne amevitaja vigezo vilivyotumika kuwapata wasanii kumi wa Hip Hop waliofanya vizuri kwa mwaka huu ni pamoja na mashairi makali, ukubwa wa muziki wao kwa mashabiki, mitindo yao na uwepo wao kwenye jamii.

Hii ni orodha ya marapper 10 waliofanya vbizuri kwa mwaka huu kwa mujibu wa kituo cha MTV.

1. Kanye West
2. Drake
3. Chance the Rapper
4. Travis Scott
5. Future
6. Young Thug
7. YG
8. Kendrick Lamar
9. Lil Uzi Vert
10. 21 Savage

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents