HabariMichezo

Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe mjini Berlin

Mwanariadha wa Kenya, Eliud Kipchoge amevunja rekodi yake mwenyewe kwa sekunde 30, baada ya kutumia saa  2:01:09 na kushinda mashindano hayo ya mbio ndefu (42km) kwa wanaume ya Berlin (Berlin Marathon) mwaka 2022.

Kipchoge amevunja rekodi hiyo ya dunia ambayo aliiweka yeye mwenyewe akitumia muda wa saa 2:01:39 kumaliza umbali huo mwaka 2018.

Mkenya huyo mwenye umri wa miaka 37 amezungumzia furaha yake kwa ushindi huo aliyoupata “Nilifurahishwa sana na maandalizi yangu, rekodi ya dunia ni kwa sababu ya kazi ya pamoja.” Amesema Kipchoge

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents