Burudani

Kwa mara ya kwanza baada ya ukimya mrefu, Rose Muhando aibukia kwenye kampeni za Magufuli Songwe (+Video)

Kwa mara ya kwanza baada ya ukimya wa muda mrefu bila kuonekana kwenye shughuli za sanaa, msanii maarufu wa Injili hapa nchini Tanzania Rose Muhando ameibukia kwenye mkutano wa kampeni za mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt  John Pombe Magufuli.

Ikumbukwe tu kipindi cha nyuma Rose Muhando alikuwa ana matatizo ya kiafya ambayo yalisababisha watu kuongea mengi kuhusu yeye hadi kufikia hatua ya kwenda kuombewa kwa wachungaji wa Kenya pia kuna muda alionekana akipatiwa maombi kwenye Kanisa la Mlima wa moto chini ya marehemu Bi Gertrude  Rwakatare.

https://studio.youtube.com/video/HslsikTtyu0/edit/basic

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents