Habari

Latra watangaza bei mpya za daladala, nauli ndogo ni Tsh 600, kubwa ni Tsh 1,400 (Video)

 

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo ametangaza bei za mpya za daladala pamoja na mabasi ya mikoani ambazo zitaanza kutumika hizi karibuni.

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Arusha, amesema kupanda kwa bei hizo kumezingatia mambo mengi na sio mafuta tu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents