Burudani

Lil Wayne afunguka kilichowahi kumuumiza kwa Drake

Lil Wayne amefunguka na kudai kuwa aliumizwa na taarifa za Drake kutembea na mpenzi wake Tammy Torres wakati alipofungwa jela [Riker’s Island] mjini New York miaka sita iliyopita.

drake-minaj-wayne-2012-mtv-video-music-awards-show-01

Wayne amefunguka hayo kwenye kitabu chake cha Gone ‘Til November ambacho anatarajia kukitoa Oktoba 11, mwaka huu.

“Finding out that she f****d Drake was the absolute worst thing I could have found out,” Wayne said. “Drizzy came to see me, he was like, ‘Yeah, it’s true.’ Damn! This is the type of s*** a man never wants to find out while he is locked up,” amesema Wayne kwenye kitabu hicho.

drake-and-tammy-torres

Drake na Tammy wakati wa mahusiano yao

Mwaka jana Tammy aliwaambia waandishi wa habari kuwa endapo Lil Wayne ataiweka stori hiyo kwenye kitabu chake hicho, yeye ataweka hadharani ukweli kuhusu hilo lililotokea.

“First of all I just got back into the country so I don’t know what Wayne is talking about,” alisema Tammy. “But if he decides to come out with whatever… I would have the real story, I would have to tell you the real story. But at a better time.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents