Mabingwa wa Ufaransa wenye umri wa chini ya miaka 20 timu ya Montpellier HSC wametua nchini tayari kwa mashindano ya Kimataifa kwa vijana walio na umri chi ya miaka 20 ya @cambiassosports & Rainbow U20 International Tournament yatakayoanza Julai 22, 2022.