Michezo

Mashabiki wa Yanga, Simba watupiana maneno, K/koo Derby (+Video)

Kuelekea Kariakoo Derby au Derby ya Dar es Salaam mashabiki wa soka nchini wamekuwa na mitazamo tofauti hususan wale wa Yanga na Simba ambao kesho wanatarajiwa kumiminika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam kuwashuhudia mchezo huo unao wakutanisha miamba ya soka nchini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents