HabariMichezo

Mashabiki wa Yanga wakata keki kuwapa furaha mashabiki wa Simba (Video)

Mashabiki wa Simba kutoka @mzalendo_gym wamepewa furaha ya aina yeke kutoka kwa mashabiki ya Yanga kutoka Gym hiyo ikiwa ni siku chache baada ya kuchukua ubingwa wa NBC.

Shamra shamra hizo zimefanyika Jumatatu katika Gym ya Mzalendo Tuangoma Kigamboni Dar Es Salaam ambapo pia mashabiki hao walisema wamefanya tukio hilo ili kuufanya Mchezo wa mpira kuwa wakirafiki.

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents