Habari

Matokeo ya Mabomu Gongo la Mboto

kombora2

Baada ya milipuko yaliyoitingisha eneo la Gongo la Mboto na maeneno ya karibu na kusababisha vurugu kubwa na hali tete kwa wananchi, Bongo5 ilitembele eneo hilo na kunasa matukio tofauti.(Pichani:Nyumba ikiwa imeteketea vibaya baada ya kuunguzwa kwa moto la kombora.)

 

nyumba_ikiwa_imeteketea_kwa_moto_baada_ya_kupigwa_na_kombora_maeneo_ya_gongo_la_mboto_la_mboto

Nyumba nyingine ikiwa kwa moto, huku wananchi wakipita kuendelea na shughuli zao

_kombora_likiwa_limevunja_nyumba_sehemu_ya_uani_ya_nyumba_wakazi_wa_hapo_mama_Amina_alikuwa_amekaa_karibu_na_ndipo_aliposikia_Kombora_hilo_likianguka_anasema_usiku_huo_aliweza_kukimbia_na_mwanaye_mgongoni_mpaka_Mombasa

Kombora likiwa limetua na kuharibu sehemu ya nyumba ya uani, katika eneo ya gongo la Mboto

Kombora_likiwa_limejikita_kwenye_mchanga_baada_ya_kutupwa_toka_katika_kambi_ya_jeshi_la_Ulinzi__wa_jktz_lililopo_gongo_la_mboto

Kombora likiwa limetua kwenye mchanga

kombora_likiwa_limeanguka_karibu_na_makazi_ya_watu_likiwa_zima_jambo_ambalo_linazidi_kuwatia_wasi_wasi_wananchi_wa_maeneo_hayo

 

nYUMBA_IKIWA_IMEPASULIWA_NA_VIPANDE_VYA_KOMBORA_AMBAVYO_VILIPENYA_HADI_NDANI

Mojawapo ya paa zilizoharibika baada ya milipuko ya makombora

kombora_likiwa_limetua_karibu_na_kitanda_na_kumuunguza_mkono_mtoto_ambaye_alikuwa_amejificha_uvunguni_maeneo_ya_gongo_la_mboto_kwa_sungura

Kipande cha kombora likiwa limetua ndani ya nyumba ya mkazi wa Gongo la Mboto, huku mkazi wa nyumba hiyo akiwa ametoweka kujisalimisha

Mkazi_wa_Ulugoni_akiwa_amekaa_nje_ya_nyumba_yake_akiwa_hajui_la_kufanya_baada_ya_vipande_vya_kombora_kuangukia_karibu_na_nyumba_yake

Mabaki ya kombora lilionekana uani mwa mkazi mmoja

Wakazi_wa_pugu_wakisubiri_gari_ili_waondoke_maeneo_ghayo_ambayo_wanahisi_hayakuwa_salama_kutokana_na_makombora_yaliyokuwa_yametapakaa_kila_eneo

Wananchi bado wakiwa katika hali ya mshtuko siku baada ya mlipuko wa Mabomu katika kambi ya jeshi Gongo la mboto

kombora_likiwa_limevunja_ukuta_na_kutokea_upande_wa_pili_

Baadhi ya uharibifu wa mali ulioletwa kwa kulipuka kwa mabomu

Limejifukia

Kombora likiwa limefukiwa na mchanga. Jeshi la polisi limeahidi kupita katika maeneo yaliyozunguka na kukusanya mabaki ya makombora yaliyobaki

 

Nyaya_za_umeme_zikiwa_zimetapakaa_maeneo_ya_gongo_la_mboto_karilibu_kabisa_na_kambi_ya_jwtyz

Biashara nyingi zilifungwa na wakazi kuonekana katika hali ya kuchanganyikiwa

kombora_likiwa_limewekea_alama_maalum_ya_tahadhali_likiwa_bado_halijaripuka_maeneo_ya_barabarani_karibu_na_kituo_cha_shule_ya_sekondari_ya_pugu

Kombora lililowekewa uzio wa usalama na jeshi la polisi

kombora_likiwa_limeteketeza_nyumba_baada_ya_kuangukia_humo_ndani_na_kupasukia_kwa_nje

Wakazi wakiangalia nyumba yao ikiwa imebomoka kwa huzuni kubwa

chumba_cha_mkazi_Mohamed_ndani_ya_shule_ya_sekondari_Pugu_aliyofundisha_mwalimu_nyerere_chumba_chake_kikiwa_kimeteketezwa_vibaya_na_kombora

Nyumba iliyoathirika na mabomu yaliyolipuka

kombora_likiwa_lineanguka_katika_shamba_ambalo_huwa_linapandwa_mchicha_maeneo_ya_vingunguti_katikati

Kombora likiwa limetua katika shamba la mchicha Gongo la mboto

nyumba_ikiwa_imeteketea_kwa_moto_maeneo_ya_barabarani_karibu_kabisa_na_kambi_ya_jwtz_na_nyumba_hiyo_iliungua_kila_kitu_hadi_duka

Uharibifu wa mali mkubwa umejitokeza

wananchi_wakikiangalia_kipande_cha_kombora_ambacho_kilikuwa_bado_hajaripuka_hii_ilikuwa_ndani_kabisa_ya_maeneo_ya_Gongo_la_Mboto

Wananchi wakiangalia kipande cha Kombora lililobaki baada kufuatia milipukoKb

{hwdvideoshare}id=1414|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1415|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1416|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1417|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1418|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents