Mahojiano

Mimi Mars: Marioo kuvaa jezi iliyoandikwa jina langu, niliisahau kwenye begi lake wakati tumetoka kurekodi video ya ‘Wana’ (+ Video)

Stori ya ile jezi yenye jina langu aliyovaa @marioo_tz , nakumbuka tulienda ku shot video ya #Wana wakati tunaondoka tulichanganya nguo kwenye begi hivyo @marioo_tz aliondoka na jezi yangu ila baadae alinipigia simu na kuniambia kuwa kwenye begi lake kuna jezi yangu sikutegemea kama angeivaa “ – Mimi Mars

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents