Burudani

Mrembo Nini amkana Nay wa Mitego katika sherehe yake ya birthday (Video)

Msanii wa Muziki, Nini ambaye bado anafanya vizuri na wimbo ‘Nipe Dawa’ akiwa amemshirikisha rapa Nay wa Mitego ambaye anadaiwa kutoka naye kimapenzi, ameitumia show yake hiyo ya Birthday Party iliyofanyika katika Club ya Mzalendo kukanusha tetesi za kutoka kimapenzi na rapa huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents