Burudani

Msanii mwingine wa Kenya asainishwa na Chocolate City ya Nigeria

Uongozi wa lebo ya Chocolate City umemsaini msanii mwingine kutoka nchini Kenya.

Nikki

Lebo hiyo inayomilikiwa na rapper, M.I imetangaza kumsaini Eric Onyango Omollo maarufu kama Qritiqal na kumfanya kuwa msanii wa pili kutoka Kenya kusainiwa na lebo hiyo baada ya Victoria Kimani aliyesainiwa na lebo hiyo miaka mine iliyopita.

Kupitia akaunti ya instagram ya lebo hiyo wameandika:

Welcome to the family @Qritiqals! Chocolate City Kenya’s new signee is about to blow your minds. Follow him on Instagram, Twitter & FB – @Qritiqals.
Get ready Africa, it’s about to get Qritiqal. #WelcomeQritiqal #HelloQritiqal

Qritiqal amewahi kuachi nyimbo kadhaa ikiwemo ‘Chaguo Langu’ lakini pia amewahi kushirikishwa na rapper Colonel Mustafa kwenye wimbo wake wa ‘Kupe’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents