Uncategorized

Mtanzania Shaaban Idd Chilunda apata shavu kwenye klabu nyingine ya nchini Hispania

Nyota wa Tanzania, Shaban IDD Chilunda hapo jana alitambulishwa rasimi kuwa mchezaji wa klabu ya CD Izarra inyoshiriki ligi daraja la pili nchini Hispania.

Chilunda amejiunga na klabu hiyo ya CD Izarra akitokea timu ya CD Tenerife inayoshiriki ligi daraja la kwanza ya nchini humo kwa usajili wa mkopo.

Chilunda ambaye alitokea Azam FC ya jijini Dar es Salaam alijiunga na CD Tenerife kwa msimu wa mwaka 2018/19.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents