BurudaniUncategorized

Muimbaji Viola aeleza namna alivyoitumia fursa ya kutongozwa na askari baada ya kupekuliwa (Video)

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Viola Karuri amefunguka kuzungumzia story ya kusisimu ya kisa cha askari ambacho kimemtokea na kumsukuma kuandika wimbo ‘Nitakungojea’ maalum kutokana na tukio hilo.

Mrembo huyo akiwa Bongo5 amesema kuna siku alikuwa safarini nchini Kenya akasimamishwa njiani na askari na kuanza kupekua, baada ya tukio hilo askari huyo alianza kumtongoza mrembo huyo na kumwambia anaweza kumuachia gari yake hapo na italindwa mpaka pale atakaporejea safarini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents