Msanii Dezert Eagle ambaye ni Mtanzania anayeishi nchini Australia na leo Jul 3 ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa ametoa wimbo huu kama zawadi kwa mashabiki wake unaitwa “Rumble” Studio Urban Soul video ya wimbo huu inatoka hivi karibuni ambayo imefanyika hapa hapa Bongo.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
New Video: Jamwe He Ft Chege -NadoJanuary 17, 2018 - 12:44 am
-
Video: Ivrah – TusheherekeeDecember 25, 2017 - 5:01 pm