Burudani

Mwana FA, DC Zainabu, Alikiba, Maua Sama & Mwijaku Wakiwa Muheza – (Video)

Kupitia Instagram yake Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma alimaarufu @mwanafa akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mhe. Zainabu Abdallah, Rais wa Crown Media Alikiba, Msanii wa Bongo Fleva Maua Sama na Mwijaku wakiwa Muheza.

Ameandika kuwa “hekaheka ni nyingi hapa mpaka Mwenge wa Uhuru utakapokuja Jumatatu 15/04 na kuondoka kesho yake..nipo na jamaa zangu Mhe DC @zainababdallah93 @officialalikiba @mauasama
@mwijaku na @jerry_mchechu
Pamoja na mambo mengine, Muheza ina vivutio kadhaa vya kitalii,na @magoroto.forest ni kimojawapo. Karibuni sana MUHEZA.

Via Mwana Fa. written by @el_mando_tz

 

https://www.instagram.com/reel/C5trC7ztZ-8/

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents