HabariMichezo

Namheshimu Big Brother- Robertinho

Kikosi cha @simbasctanzania kikiwa chini ya Kocha Mkuu mpya, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ jana kimeanza mazoezi huko Dubai Dubai kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika.

Akiwa Dubai Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ hakusita kumwagia sifa kocha msaidizi Juma Mgunda na kusema kuwa yeye anauzoefu mkubwa.

”Kilawakati namfuata Juma Mgunda, kwasababu yeye anauzoefu mkubwa Afrika, Namheshimu mno kaka Mkubwa.”- Roberto Oliveira ‘Robertinho’
@simbasctanzania ipo Dubai kwa ajili ya kambi ya wiki moja hukiwa ni nafasi nzuri kwa kocha huyo mpya kuwasoma vema wachezaji wake kabla ya kuanza mechi za mashindano.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents