Burudani

Natamani sana kuwa na mtoto ila sio kuolewa – Wema Sepetu (+Video)

Muigizaji wa filamu na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amesema kuwa kwa sasa anatamani zaidi kuzaa kuliko kuolewa kwani ndoa ni majaaliwa tu.

 

Wema akiongea na Bongo5, Amesema kuwa wanawake wengi kwa sasa wanalilia ndoa ila yeye anacholilia kwa sasa ni mtoto.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents