Burudani

Nay wa Mitego: Kama sijaitwa Wasafi TV nitajipeleka kwaajili ya Interview? (Video)

Msanii wa muziki, Nay wa Mitego amefunguka kwa kudai kwamba hajaonekana Wasafi TV kwa kuwa hajaitwa na sio kwamba ana bifu na chombo hicho cha habari kinachomilikiwa na Diamond Platnumz. Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Mbele Kwa Mbele amedai hajawai kushuhudia wimbo wake ukipigwa na kituo hicho cha runinga.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents