Burudani

New Music: Beyonce ‘Grown Woman’

Wanapokutana wakali wawili ambao kila mmoja amesimamia vilivyo kwenye idara yake lazima product ipate mhuri wa moto wa shirika la viwango! Ndicho kilichoko katika brand new track ya Beyoncé Giselle Knowles-Carter ambaye ameisimamia vilivyo idara yake ya uimbaji na mkali Timberland ameidhibiti vizuri idara ya production ndio ikazaliwa ‘Grown Woman’.

beyonce new

Kama ambavyo jina la wimbo linajieleza ‘Grown Woman’! kikubwa ambacho mama Blue Ivy anajaribu kukielezea humo ndani ni kuhusu yeye mwenyewe kwani sio msichana mdogo tena, she is grown a** woman.

Isikilize hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents