Burudani
New Music: Quick Rocka – Sophia (Reggae Cover Version)
Baada ya Peter Msechu kufanya cover yake ya wimbo wa Ben Pol ‘Sophia’, Quick Rocka amekuja na yake pia iliyopo kwenye version ya reggae. Quick amebadilisha kidogo majina ya maeneo yaliyotajwa na Ben Pol kwenye original versin na kuweka majina ya Mbeya, anakotokea.