Burudani
New Video: Awilo Longomba – Bundelele
Awilo Longomba hajazeeka, in fact anafahamu kuwa muziki umebadilika na bila kufanya video kali huwezi kwenda popote. Tazama video hii kali ya muimbaji huyo wa DRC, ya wimbo wake ‘Bundelele’.