Videos

New Video: Rich Homie Quan – Changed

Msanii kutoka nchini Marekani anyefahamika kama Rich Homie Quan kwa sasa anaifanyia kazi albamu yake mpya Rich As In Spirit ambayo imepangua kuachiwa ndani ya mwaka huu kupitia mpango wake mpya na Motown Records.

Rapa huyo kutoka jijini Atlanta amerdui na video mpya ya ngoma yake iitwayo changed ambayo video hiyo wameshot katika mjengo mmoja na kwenye yacht na watoto wazuri. Tazama hapa chini

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents