Videos
Nuh Mziwanda ajichora tattoo yenye jina la Shilole ‘Shishi Baby’
Nuh Mziwanda ameamua kudhihirisha upendo wake kwa Shilole kwa kujichora tattoo yenye jina la msanii huyo wa ‘Nakomaa na Jiji’.
“Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??,” ameandika kwenye picha aliyoiweka Instagram.
Naye Shilole alijibu: Thankx my lv 4 dis! Umeonyesha lv ya ukweli.