Picha

Photos: Uzinduzi rasmi wa Tusker Lite jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti, Steve Cannon pamoja na wafanyakazi wa SBNL wakigonganisha chupa kuashiria furaha ya kuzinduliwa bia hiyo mpya.

Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries imezindua rasmi kinywaji kipya cha Tusker Lite usiku wa kuamkia jana katika usiku wa Marketers Night Jijini Dar-es-Salaam.

Kama tulivyoweka utabiri wetu jana kuhusu kinywaji hicho, angalia picha za namna kinywaji hicho kilivyozinduliwa rasmi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents