Burudani
Picha: COSOTA yashirikiana na wasanii katika siku ya miliki bunifu duniani

Chama cha haki miliki Tanzania (COSOTA) kikishirikiana na WIPO kimeadhimisha siku ya Miliki Bunifu Ijumaa hii jijini Dar es Salaam.

Rais wa shirikisho la filamu, Simon Mwakifamba akiwa na Natasha
Warsha hiyo ya siku mbili imehudhuriwa na wasanii mbalimbali wa muziki na filamu na mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mndeme.
Wasanii wa kundi la Mizengwe walitumbuiza.
Hizi ni picha za tukio hilo.

Afisa Mtendaji wa COSOTA, Doreen Anthony Sinare akiongea jambo

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mndeme

Andrew Mahiga akiwa na P.Funk

Mh. Janeth Mndeme akifurahia jambo

Wasanii wa Mizengwe


























