Mitindo

Picha: Mastaa walivyotokelezea katika uzinduzi wa filamu ya Black Panther

Alfajiri ya leo kulikuwa na uzinduzi wa filamu ya ‘Black Panther’ ambapo mastaa kadhaa walijitokeza kuitazama filamu hiyo katika ukumbi wa Marvel Studios.

Watu walioudhuria uzinduzi hui ni Kevin Feige, Marvel Comics icon Stan Lee, Luke Cage star Mike Colter, na George Lucas pamoja na mtanzania Ernest R Napoleon maarufu kama Going Bongo aliyeigiza katika filamu ya ‘Kumeni’.


Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents