Burudani
Picha: Memphis Depay aonekana tena na Ex wa Chris Brown, Karrueche Tran
Mchezaji wa Manchester United, Memphis Depay ameonekana kwa mara nyingine akila bata na aliyekuwa mpenzi wa staa wa R&B Chris Brown, Karrueche Tran jijini Manchester.
Tetesi za wawili hao kuwa pamoja zilianza baada ya kuanza kuonekana pamoja miezi michache iliyopita nchini Marekani.
Wawili hao walionekana tena usiku wa Jumapili wakiwa pamoja wakitoka kwenye club moja ya jijini Manchester.