Habari

Picha: Nyumba wanayoishi majeruhi wa Lucky Vicent Marekani

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameonyesha nyumba wanayoishi majeruhi wa ajali ya basi la wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent ambao ni Doreen, Sadia na Wilson.

Mhe.Nyarandu ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

UPDATE:- Jumatatu, Juni 5
Hii ni NYUMBA wanayokaa WATOTO Doreen, Sadia na Wilson (pamoja na mama zao) katika Mji wa Sioux City, Jimbo la Iowa. Pamoja na MAZOEZI ya mwili na viungo, WATOTO wote wanaanza KUFUNDISHWA kila siku saa 9 alasiri kwa saa Moja, na MAMA wote wanaanza DARASA la Lugha kila siku Saa tatu asubuhi kwa saa Moja. Tunawashukuru WAALIMU wote waliojitolea kwa kazi hii. Tuendelee KUWAOMBEA watoto wetu

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents